Micah ni mwanaume…lakini ana hips kama au zaidi ya mwanamke! Zile hips
ambazo baadhi ya wadada huzitamani kiasi cha kuamua kuzitafuta kwa
daktari.
Kijana huyo ambaye ni msanii wa R&B anayechipukia mwenye miaka 20
kutoka Chicago, Marekani, amechukua headlines kutokana na umbo lake
kuwashangaza wengi.
Hivi ni vipimo vya mwili wake:
Kifua: 41.5″ Kiuno: 37″ butt/hips: 63″
Hizi ni picha alizoshare kwenye ukurasa wake wa Instagram: @ regalias_mimi94
Post a Comment