Kumshukia mwanaume kule chini kuna hitaji moyo na mapenzi ya dhati dhidi
ya mpenzi wako na vilevile hisia uipatayo wakati unafanya hivyo (kama
ilivyo kwa wanaume kwenda chumvini), lakini kwa wanaume hawaitaji
kushukiwa huko ili kupata utamu wa ngono kwani wao hawana matatizo ya
kifika kileleni kama wanawake (asilimia kubwa) hivyo kumshukia mwanaume
huko chini kunategemea zaidi na ninyi wawili ktk kukoleza ukaribu wenu
wa kimapenzi.
Kwa kufikiria kunyonya uume ni rahisi sana, lakini
kiutendaji sio rahisi hivyo kwani unahitaji ufundi kiasi ili kumfanya
mpenzi wako afurahie mdomo wako huko chini kwake.
Unaweza ukaanza
kuunyonya kabla hata haujainuka na hivyo wewe ukaunyanyua...ila unaweza
kuwa umechoka hali itakayopelekea usinyonye ipasavyo mara utakapo kuwa
mgumu (dinda).
Unapounyonya uume sio lazima umeze ule ute hasa
kama unakinyaa na badala yake unaweza kumpa mpenzi wako "dry suck"
kwamba unamnyonya bila kuachia mate yako na hivyo kitakachokuwepo
mdomoni ni ule ute wake kiasi ambao utakuwaunauachia kinamna kila
unapoenda juu (kichwani).
Kuna akina dada waliwahi kuniandikia
kwa nyalati tofauti wakilalamika kuwa wapenzi wao wanawalazimisha
wawanyonye in-direct, kwamba jamaa anachojoa kisha anamsimamia mbele
yake uume ukiwa sambamba na mdomo kisha kujisukuma mdomoni.
Mwingine akalalamika kuwa wake huwa anasukuma kichwa chake ili aende chini akamnyonye kila wakati anapombusu sehemu za kiunoni.
Mdada wa 3 alilalamika kuwa mpenzi wake huwa anamwambia "nishukie chini basi".
Kaka
yangu, kama na wewe unatabia hiyo napenda kukufanhamisha kuwa ni bonge
la "turn off" kwa wanawake wengi......kwenye mapenzi hamlazimishani bali
mnafanya mambo/vitu kutokana na unavyojisikia au jinsi ulivyopanga
kumfurahisha mpenzi wako siku hiyo.....unatakiwa ku relax na mwachie
afanye atakacho mwilini mwako na utafurahia. Ikiwa ka-miss jambo basi ni
vema kulizungumza nje ya uwanja (sio kitandani).
Jinsi ya kunyonya uume.
1-Anza
kwa kubusu ktk mtindo wa kulamba maeneo yaliyo karibu na uume hasa
sehemu ya ndani ya mapaja, anza paja la kulia na hamia paja la
kushoto.....wakati unaendelea na safari yako ya kulamba tumia mkono wako
mmoja kumshika sehemu ya kiunoni pale karibu na mboo.
2-Utaona
uume unaanza ku-move (ukiwa umesimama), sasa ili usikuharibie utamu wa
kubusu ushikilie kwa mkono wako mwingine kama vile umeshika mua au chupa
ya soda kwa juu na peleka mkono huo juu na chini huku ukiendelea
kubusu-kulamba.
3-Mkono wako ukiendelea na safari ya juu-chini
hamishia mdomo wako kwenye pumbu (makende), yalambe taratibu na ukiweza
yakoweshe kwa mate (yabugie a.k.a yaingize yote mdomoni mwako) huku
ukitembeza ulimi taratibu...kuwa mwangalifu na meno yako wakati
umeyabugia kwani ni "sensitive" na wanadai kuwa ukikosea kidogo huwa
yanauma.
4-Toka sehemu hiyo ya makende kwa kubusu taratibu wakati
unaelekea kwenye mtunguli wenyewe (mb**o), tumia mkono wako kwenda
juu-chini (kamanilivyosema awali) kisha anza kulamba ktk mtindo wa
kunyonya kwenye shaft a.k.a shina la uume....ulambaji wa hapa unategemea
na mpezni mwenyewe unaweza lamba kuanzia "base" kwenda juu kuzunguuka
mboo au unaulamba ktk mtindo wa kubugia hatua kwa hatua (kiupande-upande
kama unamenya mua kwa kutumia meno yako) hehehehehe nimewakumbuka
Wasukuma.
**Mpaka hapa mpenzi anaweza kumwaga.....ikitokea basi jipongeze kwa job well done.....vinginevyo endelea kama ifuatavyo:-
5-Sasa
shusha mkono wako na shika kule mwishoni mwa shina la uume (base) au
karibu na "base"(inategemea na ukubwa)....kufanya hivi kutakusaidia wewe
kujua kiasi gani cha uume unaweza kumudu ndani ya mdomo wako hasa kama
unataka kumpeleka mpaka kwenye koromeo (angalia usijitapishe tu).
6-Anza
shughuli sasa ya kuunyonya uume na zingatia zaidi kumkichwa kwani ndio
kunako utamu, kwa kutumia midomo yako ya nje (lips) ficha meno yako ili
usimkwaruze (kuwa kibogoyo kwa muda huo sawa?) alagu endelea na juu
chini huku ukipunguza na kuongeza "speed".
Hakikisha unatumia
mikono yako yote miwili ili kumuongezea raha mpenzi wako....mkono mmoja
unacheza na pumbu....mkono mwingine unatembea kutoka "base" kwenda kati
ya shina la uume.
Unapokwenda juu kwa kutumia mdomo wako hakikisha
mkono unakufuata na ukirudi chini hakikisha mkono wako
unakufuata.....time to time baki kichwani na tumia ulimi na lips zako
kunyonya/lamba na wakati huo mkono unakwenda juu-chini kwa speed kali
(kama vile anajichua) na hapo utamuongezea kautamu....
Endelea mpaka atakapo cheka.....
Ongezea ujuzi wako ili wengine wajifuze tekiniki ili wapenzi wafurahi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment