Zari ‘The Bosslady’ Tlale hakuushia kufanya party ya mwaka peke yake,
mrembo huyo wa Uganda alitumia ‘Zari All White Party’ kuweka hadharani
uhusiano wake wa kimapenzi na Diamond Platnumz.
Diamond na Platnumz wakibadilishana mate!
Show hiyo ilivunja rekodi kwenye kiota cha Guvnor cha jijini humo
ambapo walilazimika kuzuia mamia ya watu waliokuwa wamefurika nje baada
ya kukosa nafasi.
Diamond na Zari walionekana kupigana busu mara kwa mara mbele ya
umati huo mkubwa wa watu hali iliyoweka wazi uhusiano wao wa kimapenzi.
Hivi karibuni Zari alimsindikiza mpenzi wake huyo kwenye tuzo za Channel O ambako alishinda tuzo tatu.
Post a Comment