HIKI ndicho alichoandika huyu star wa Bongo Fleva anayejulikana kwa Jina la Witnesz TZ katika ukurasa wake wa facebook juu ya Wanawake Wenzake.
''hivi ni asilimia ngapi ya wanawake wanatongoza wanaume humu fb? kiupande wangu ninapata mchefuko mkubwa wa moyo haswa pale wanapotolewa nje na bado wakazidi kung,ang,nia jamani ,hili ni jambo la
aibu mno,
mwanamke akitongozwa ndo mahala pake mwanaume siku zote ni muwindaji kwa upande huu japo nasi huwa tunawakubali tuwapendao na wenye sera za msingi,sasa huu mfumo unatia aibu jamani utadhani hawajalelewa na wazazi wenye kujiheshimu mnatudhalilisha sana wenzenu wakati mwingine unapatwa na aibu hadi unatamani ufiche uke maana jinsi mtu anavyotolewa nishai na anapozidi kung,ang,ania unahisi amekuwakilisha na wewe! jamani acheni tabia mbaya wanawake wenzangu,ni hayo 2!''
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment