Diamond Platnumz na Rich Mavoko ni miongoni mwa wasanii waliotoa
video kali mwaka huu. Pamoja na Mdogo Mdogo na Bum Bum, Ntampata Wapi
imekuwa video iliyopokelewa vizuri zaidi mwaka huu. Naye Rich Mavoko
amefanikiwa kuwa na video kali zaidi katika career yake, Pacha Wangu.
Zote Ntampata Wapi na Pacha Wangu zimetumia mamodel warembo wa Afrika
Kusini. Lakini nani ni mrembo zaidi? Melissa wa Diamond au Jane wa
Mavoko? Tazama picha zao hapo chini na funguka kwenye comments.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment