0
Zari ‘The Bosslady’ Tlale hakuushia kufanya party ya mwaka peke yake, mrembo huyo wa Uganda alitumia ‘Zari All White Party’ kuweka hadharani uhusiano wake wa kimapenzi na Diamond Platnumz.

zd1
Diamond na Platnumz wakibadilishana mate!



Show hiyo ilivunja rekodi kwenye kiota cha Guvnor cha jijini humo ambapo walilazimika kuzuia mamia ya watu waliokuwa wamefurika nje baada ya kukosa nafasi.
zd2
Diamond na Zari walionekana kupigana busu mara kwa mara mbele ya umati huo mkubwa wa watu hali iliyoweka wazi uhusiano wao wa kimapenzi.
zd6
Hivi karibuni Zari alimsindikiza mpenzi wake huyo kwenye tuzo za Channel O ambako alishinda tuzo tatu.

zd4 (1)

Post a Comment

 
Top